Wednesday, October 5, 2016

TIGO YADHAMINI MBIO ZA TIGO IGOMBE CHARITY MARATHON

Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na wanariadha wa Tigo Igombe Charity Marathon, kabla ya kuzindua mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni wa wiki iliyopita mjini Tabora.
Mtoa huduma Mwl. Mwajuma Mwamba akiwasajili wanariadha mara baada ya kumaliza mbio za Tigo Igombe Marathon zilizofanyika mjni hapa.
Mkurugrnzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ally Maswanya akizungumza na wanariadha wa mbio za baiskeli kabla ya kuzindua shindano hilo.
Wanariadha wakiwa tayari kusubiria kipyenga cha Tigo Igombe Charity Marathon.
Vijana wa mkoa wa Tabora wakishindana kukimbia wakati wa mashindano ya Tigo Igombe Charity Marathon yaliyofanyika leo mjini hapa.
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na mwakilishi wa Tanzania Breweries Ltd ambao ni wadhamini wenza wa mbio za Tigo Igombe Marathon, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Ally Maswanya, mbio hizo zimefanyika leo mjini hapa.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu