Sunday, October 9, 2016

TIGO YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE


Mkuu wa kitengo cha huduma cha wateja Zakheem Khan akifurahi pamoja na mteja aliyejipatia zawadi ya simu katika kusherekea wiki ya huduma kwa wateja zilizofanyika katika duka la Tigo makumbusho mwishoni wa wiki hii.

Sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma.

PichanI ni sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma.

Wafanyakazi wa Tigo wakiwa na zawadi kwa ajili ya wateja katika duka la Makumbusho mapema mwishoni wa wiki hii.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu