Baraka DaPrince akitumbuiza mbele ya umati wa wakazi wa Mbeya waliojitokeza katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 mwishoni mwa wiki iliyopita.
Benpol katika jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta 2016 mwishoni mwa wiki iliyopita.
JohMakini akitumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta2016.
Juxakitumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 mwishoni mwa wiki iliyopita.
Wasanii Man Fongo na Shilole wakitoa burudani ya singeli kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mr blue akitumbuiza umati wa wakazi wa Mbeya waliojitokeza katika viwanja vya Forest Mbeya kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta 2016 mwishoni mwa wiki iliyopita.
Msanii Msami akiwa amemnyanyua mcheza shoo wake stejini kuonyesha uwezo wake wa kumiliki jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya mwishoni mwa wiki iliyopita.
Wasanii Roma Mkatoriki na Stamina wakionesha umahiri wao wa kufokafoka kwa kupokezana kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mashabiki wakimshangilia Roma Mkatoriki.
Maelfu ya wakazi wa Mbeya wakifurahia burudani toka kwa wasanii waliotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016.
Weusi wakilishambulia jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta 2016 mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: