Friday, November 25, 2016

AIRTEL YAWAWEZESHA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA VIDEO BORA NCHINI SINGAPORE

 Washindi wa shindano la video bora lililoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel lijulikanalo kama “jicho la kitaa” Bwana Elisha Ezakiel Lango na Frank Sylvester Machiya wakiwa nchini Singapore kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya video bora lililoshirikisha nchi mbalimbali duniani.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu