Monday, November 7, 2016

ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA LIGI SAID MOHAMED AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Said Mohamed amefariki dunia leo katika Hospitali ya Agha khan alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Mzee Said Mohamed aliwahi kuwa Meneja mkuu wa Kampuni ya Azam na mwenyekiti wa Azam Fc. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.

Blog ya Jamii inatoa pole kwa ndugu na familia ya marehemu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu