Sunday, November 27, 2016

EVANCE NG'INGO NA ANNETH GUJWIRE WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

Maharusi Evance Ngingo na mkewe Anneth Gujwire wakiwa wenye furaha baada ya wawili hao kufunga ndoa jana katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam na kufuatiwa na tafrija iliyofanyika ukumbi wa Kardinali Rugwambwa, Oysterbay jijini humo. Production by: MD Digital Company +255 755373999/+255 717002303 Dar es Salaam.
Hatimaye ndoa ikafungwa ....
Picha mbalimbali za familia zilipigwa baada ya kutoka Kanisani.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu