Tuesday, November 22, 2016

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOA WA ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Arusha alipowasili Uwanja wa ndege wa Arusha leo Novemba 22,2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku 4 Mkoani humo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu