Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Gasto Leseiyo akitunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.
Mdau Gasto Leseiyo ambaye ni Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) akifurahia baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.
Mdau Goodluck Kimaro ambaye ni Afisa Rasilimali Watu wa TBL Arusha Plant akifurahia baada ya kutukiwa Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru, Profesa Harrison Olang (kushoto)akizungumza na Mbunge wa Singida Kaskazini ambaye alikua mgeni rasmi katika mahafali ya 12.
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini. Lazaro Nyalandu (kulia) akifurahia jambo na familia ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru, Profesa Harrison Olang.
Picha ya pamoja na wahitimu.
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini. Lazaro Nyalandu(kushoto)akizungumza na Pastor Earl Pirkle (kulia) na Mkuu wa Chuo cha Mount Meru Profesa Elijah Wanje.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: