Friday, November 25, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI MGENI RASMI MAHAFALI YA 31 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA (OUT)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa wakati wa mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye kampasi ya chuo hicho huko huko Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani leo Novemba 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wahadhiri wakati wa mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye kampasi ya chuo hicho huko huko Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani leo Novemba 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa mhitimu Hebson Opiyo Andala kutoka Rwanda wakati wa mahafali ya 31 ya chuo hicho yaliyofanyika kwenye kampasi ya OUT huko Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani leo Novemba 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye kampasi ya chuo hicho huko huko Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani leo Novemba 24, 2016
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa, Joyce Ndalichako akihutubia wakati wa mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye kampasi ya chuo hicho huko huko Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani leo Novemba 24, 2016.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa mhitimu Philip Filikunjombe wakati wa mahafali ya 31 ya chuo hicho yaliyofanyika kwenye kampasi ya OUT huko Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani leo Novemba 24, 2016. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu