Tuesday, November 29, 2016

RAIS WA CHAD IDRISS DEBY AONDOKA NCHINI TANZANIA BAADA YA KUFANYA ZIARA YAKE

 Waziri Mkuu Majaliwa akiongea na Rais wa Chad Idriss Deby kabla hajaondoka nchini Tanzania alipokuja katika ziara ya kikazi.
Rais wa Chad Idriss Deby akiwa ameongozwa na mwenyeji wake waziri Mkuu Majaliwa wakati akiondoka nchini Tanzania alipokuja katika ziara ya kikazi.
Rais wa Chad Idriss Deby aondoka nchini November 28,2016. Aagwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu