Monday, November 14, 2016

TANZIA; Msaidizi Sehemu ya Ramani Idara ya Upimaji na Ramani Elvis Nyambita Magare aagwa leo

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

TANZIA
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wa Wizara Bwana Elvis Nyambita Magare, Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Ramani Idara ya Upimaji na Ramani kilichotokea tarehe 11/11/2016 Nyumbani kwake mtaa Mindu Upanga Jijini Dar es salaam. Ratiba ya kuaga Mwili wa Marehemu ni leo tarehe 14/11/2016 saa 4:00 Asubuhi hadi 7:00 Mchana na Kusafirishwa. Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano tarehe 16/11/2016 Kijiji cha Shirati Wilaya ya Rorya Mkoani Mara.
Hassan I. Mabuye
Information OfficerThe Ministry of Lands, Housing
and Human Settlements Development
Dar es salaam, Tanzania

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu