Sunday, November 6, 2016

TIGO FIESTA 2016 YAWA GUMZO JIJINI DAR

MSANII wa muziki wa bongo fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’ (katikati) akiimba katika tamasha Tigo Fiesta 2016.
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Chege (kushoto) akilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika jana.
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade , akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.
 
NYOTA wa muziki wa bongo fleva nchini, Ali Kiba akilishambulia jukwaa katika tamasha la Tigo Fiesta 2016.
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno, akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.
UMATI wa mashabiki wa burudani wakifuatilia tamasha hilo.
 Roma na stamina wakionyeshana umwamba.
 Raymond akitoa burudani.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu