Thursday, November 17, 2016

WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE WATEMBELEA HIFADHI YA SAADANI

Waandishi wa habari kutoka chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania (Women Journalist) wapata fursa ya kutembelea hifadhi ya Taifa Saadani,kushoto ni mhifadhi utalii Bi. Aipakunda Mungure akiwapa mapokezi makubwa waandishi mara ya baada ya kuwasili katika hifadhi hiyo jana.
Kaimu Mhifadhi mkuu na mkuu wa idara ya uhifadhi Lomi Ole Meikasi akizungumza na waandishi wa habari wanawake ofisini kwake jana ambapo alisema kuwa Hifadhi ya Saadani inavivutio vingi ikiwemo fukwe nzuri zenye uasilia wake,aina mbalimbali za wanyama,ndege mbalimbali,Mazalia ya kasa,misitu ya mikoko na ile ya ukanda wa pwani na maeneo ya mabaki ya kihistoria

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu