Sunday, November 27, 2016

WAMACHINGA WANAOFANYA BIASHARA ENEO LA BARABARA WATAKIWA KUONDOKA IFIKAPO JUMATATU NOVEMBA 28, 2016

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni,  Mhe. Ally Hapi amewaagiza wafanyabiashara wadogo wadogo (Wamachinga) wanaofanya biashara zao pembezoni mwa barabara mpaka kufika Jumatatu NOVEMBA 28, 2016 wawe wameondoka maramoja na kurudi eneo la soko ambalo lilitengwa maalumu kwajili ya shughuli hiyo, Hapi ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa eneo la Bunju jijini Dar es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu