Friday, November 18, 2016

WAZIRI MAKAMBA AHUDHURIA MKUTANO WA 22 WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANCHI, MOROCCO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (Kulia) akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 22 wa Dunia wa Mabadiliko ya Tabianchi, huko Maracckech - Morocco. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu