Saturday, December 10, 2016

AIBU KWENU MADEREVA WA MABASI - JE HUU NI UUNGWANA???

Moja ya mambo ambayo ni aibu kwa madereva wa mabasi ni uendeshaji usio salama... kiukweli ajali nyingi zinasababishwa mwendo usio salama (mwendokasi). Angali pichani madereva wakiwa wamekamata wakiwa mwendo unaozidi hali ambayo ni mbaya kwa usalama wa maisha ya abiria. 

Abiria unapaswa kupaza sauti usifumbie macho haya mambo ambayo yanahatarisha maisha yako.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu