Tuesday, December 27, 2016

BWANA KINYORI AUKACHA UKAPELA JIJINI DAR

Bwana na Bibi Kinyori wakionyesha cheti chao cha ndoa mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Hananasif, Kinondoni jijini Dar na kufuatiwa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyikia Ukumbi wa Salender Bridge Club.

1 comment :

Anonymous said...

Mungu aibariki ndoa yenu

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu