Thursday, December 22, 2016

HERI YA KUZALIWA WAZIRI MKUU MAJALIWA KHASIM MAJALIWA

Siku kama ya leo miaka 55 iliyopita, alizaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Khasim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu wa 10. Kajunason Blog inakutakia maisha mema yenye baraka tele.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu