Friday, December 2, 2016

MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA RAIS MSTAAFU WA CUBA, FIDEL CASTRO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba Marehemu Fidel Castro katika Ofisi ya Ubalozi wa Cuba Oysterbay jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2016.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu