Sunday, December 11, 2016

MALORI 600 YA DANGOTE YAWASILI BANDARI YA MTWARA

Meli ya mizigo ya Morning Composer Panama imetia nanga katika bandari ya Mtwara ikiwa na malori 600 kwa ajili ya kiwanda cha saruji cha Dangote. Malori hayo yanatarajia kuongeza ajira kwa Watanzania 1500.
Malori ya Dangote yakiwa ndani ya Meli.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu