Friday, December 30, 2016

MBUNGE MUSSA WA JIMBO TANGA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WAKULIMA JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani Shutashuta,Saidi Bakari wakati alipokwenda akikagua mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji eneo la Golani Shutashuta Kata ya Pande Jijini Tanga jana wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea kuona namna wanavyotekeleza majukumu yao na changamoto ambazo zinawakabili 
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikangalia namna mradi huo unavyopandwa.

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikagua mradi huo leo mara baada ya kuwasilia kwenye eneo hilo.

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikagua hoho wakati alipokuwa akitembelea mradi huo wa kilimo cha Umwagiliaji wa Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande Jijini
Tanga.

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikagua tikitiki maji wakati alipotembelea mradi wa umwagiliaji leo wa Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande jijini Tanga.


Mbunge wa Jimbo la Tanga, Alhaji Mussa Mbaruku akipata tunda la tikiti maji mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea kilimo cha Umwagiliaji wa Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande jijini Tanga katikani ni mwandishi wa gazeti la tanzania Daima Tanga Mbaruku Yusuph. Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu