Saturday, December 17, 2016

PROFESA KAMUZORA AKABIDHIWA OFISI

Katibu Mkuu Mstaafu Bw. Mbarak Abdulwakil (kushoto) akimkabidhi Ofisi Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora. Makabidhiano hayo yamefanyika Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo. Awali Prof. Faustine Kamuzora alikuwa Katibu Mkuu - Mawasiliano.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu