Saturday, December 31, 2016

PROFESSA J AMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE

Mbunge wa Jimbo la Mikumi ambaye pia ni msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo Flava, Joseph Haule ‘Professa J’ (aliyepiga magoti) leo amefunga mwaka 2016 kwa kumvalisha pete ya uchumba mke wake mtarajiwa nyumbani kwao jijini Dar es Salaam. Hongera za Kutosha kwako Mhe. Joseph Haule ‘Professa J’

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu