Friday, December 23, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI, KAMISHNA WA MAADILI NA MAJAJI WANNE WAPYA WA MAHAKAMA YA RUFANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimmkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha uapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi baada ya kumuapisha Jaji (Mst) Hamid Mohamoud Hamid kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimmpongeza baada ya kumuapisha Jaji (Mst) Hamid Mohamoud Hamid kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela Kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwsalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mstaafu Jaji Damian Lubuva Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na Jaji Semistocles Kaijage baada ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Jaji Semistocles Kaijage baada ya kumuapisha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela aliyeapishwa Kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na Jaji Semistocles Kaijage baada ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mstaafu Jaji Damian Lubuva
tec12: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela ambaye ameapishwa kuwa Kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016. Kulia ni Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Mstaafu Jaji Salome Kaganda. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu