Monday, December 12, 2016

SIMBA B WACHUKUA KOMBE LA VIJANA

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Jamal Malinzi, (kushoto) akimkabidhi kombe Nahodha wa Simba (B), Moses Kitandu, baada ya timu yake kuibuka mabingwa wa kombe la vijana katika mchezo wa fainali uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jana.
Wachezaji wa Simba (B) wakishangilia na kombe lao baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa Fainali dhidi ya Azam (B) michuano ya vijana uliofanyika kwenye Uwanja wa Azama jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu