Thursday, December 15, 2016

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA CHAMA CHA WABUNGE DUNIANI JIJINI LONDON, UINGEREZA

Mhe Mussa Azzan Zungu akisalimiana na Spika wa Bunge la Kenya,Justin Muturi wakati wa Mkutano wa CPA unaofanyika London Uingereza.
Ndg Saidi Yakubu,Mratibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika akitoa taarifa wakati wa Mkutano wa Chama cha Wabunge Duniani unaofanyika London Uingereza.Mkutano huo unashirikisha Wabunge 700 toka nchi 57 za Jumuiya ya Madola Duniani
Ujumbe wa Bunge la Tanzania katika Mkutano wa Chama cha Wabunge Duniani.Ujumbe huo wa Wabunge wanna unaongozwa na Mhe Mussa Azzan Zungu anaemuwakilisha Mhe Spika.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu