Bi. Angel Rwezaura wa Arusha akivishwa pende ya uchumba na Bw. Maximililan Muya pia wa Arusha wakati wa hafla iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, wachumba hao wanategemea kufunga ndoa yao Takatifu hivi karibuni mkoani Arusha.
Bwana harusi mtarajiwa Maximillian Muya akibusu pete ya uchumba kwenye kidole cha mchumbawake Angel Rwezaura, baada ya kumvisha pete.
Mshenga wa upande wa Bwana harusi mtarajiwa Maximillian Muya ... akiwakilisha fedha za mahari kwa familia na Bi. Angel Rwezaura kabla ya kufanyika hafla ya kuvishwa pete ya uchumba.
Shangazi wa Angel Rwakazaura, Mama Tito Kasere (kulia) akikabidhiwa vitenge na mzazi wa Maximillian Muya, Mama Muya.
Bi. Angel Rwezaura na mchumba wake Maximililan Muya wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wa Maximillian.
Bi. Angel Rwezaura pamoja na mchumba wake Maximillian Muya wakiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wa Angel.
Bi. Angel akiingizwa ukubini wakati wa hafla ya kuvishwa pete na Maximillian Muya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: