Sunday, January 8, 2017

BASI LA MWENDOKAZI LAVAMIWA NA GARI LA MAHINDI JIJINI DAR

Lori lililokuwa limebeba mahindi limevamia njia inayotumiwa na mabasi yaendayo haraka (DART) na kusababisha ajali iliyosababisha msongamano mkubwa eneo la Manzese Darajani jijini Dar es Salaam. 
Foleni.
HIvi ndivyo lilivyoingia katika gari la mwendokasi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu