Monday, January 30, 2017

JENGO LA WAZAZI LA MWANANYAMALA HOSPITALI LAZINDULIWA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia),akikata utepe kuzindua jingo la wazazi lililojengwa na Kampuni ya GSM Mwananyamala Dar es Salaam jana kushoto ni Injinia wa Kampuni hiyo, Hersi Said na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi. Picha na Jumanne Juma
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wa pili (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala. Dk, Daniel Nkungu, kuhusu jengo la wazazi lililojengwa na Kampuni ya GSM, wakati wa uzinduzi Mwananyamala Dar es Salaam jana kushoto ni Injinia wa Kampuni hiyo, Hersi Said. na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi, kulia ni Meya wa Kinondoni, Benjamin Sitta. Picha na Jumanne Juma.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu