Tuesday, January 3, 2017

KAMANDA WA FFU UGHAIBUNI RAS MAKUNJA ATEMBELEA OFISI ZA MICHUZI MEDIA GROUP JIJINI DAR

Kiongozi wa bendi ya Ngoma Africa a.k.a FFU UGHAIBUNI ya nchini Ujerumani,Ebrahim Makunja aka Ras Makunja mapema leo ametembelea ofisi ya Michuzi Media Group jijini Dar es Salaam na kukutana na Ankal Issa Michuzi pichani kulia pamoja na Ahmad Michuzi (Michuzi Jr) kushoto.
Kamanda wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule nchini  Ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Ras Makunja mapema leo  ametembelea ofisi ya Michuzi Media Group jijini Dar es Salaam na  kukutana na Ankal Issa Michuzi pichani kulia pamoja na Ahmad Michuzi (Michuzi Jr) kushoto, pamoja na Cathbeth Kajuna.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu