Tuesday, January 10, 2017

KATIBU WA KATIBU WA ARUSHA PRESS CLUB (APC) AMIR MONGI AFUNGA NDOA NA BI. MUNIRAH BAWAZIRI

Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akiwa na mkewe siku ya ndoa yao katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro.
Bi Munira mke halali wa Amir Mongi akiwa na mumewe Amir Mongi siku ya sherehe ya ndoa yao jumamosi katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu mkoani Kilimanjaro.
Amir Mongi akimvisha pete mewe Munirah Bawaziri siku ya ndoa yao ,katika sherehe iliyofayika kwenye ukumbi wa Mamba Complex Marangu Kilimanjaro Januari 2017.
Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akivishwa pete na mkewe Munirah Bawaziri katika sherehe ya ndoa yao ,iliyofanyika katika ukumbi nwa Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro.
Amiri Mongi akimkumbatia mkewe Munirah Bawazir.
Maharusi wakiwa wanapata chakula pamoja na waandishi wa habari kuroka Jiji la Arusha.
Sherehe inaendelea.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka Jijini Arusha wakiwa wamesimama na mmoja wao aliyevaa gauni la njano Pamella Mollel akiwa anazungumza kwa niaba yao.
 
Wakilisakata rumba katika sherehe hiyo pamoja na maharusi.
MC Kiko akiwa anateta jambo na mmoja wa wazee wa upande wa bwana harusi katika sherehe hiyo,ambapo naye alikuwa msema chochote siku hiyo.
Pongezi mbalimbali zikiendelea kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.
Pongezi mbalimbali zikiendelea kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki. Picha na Vero Ignatus Blog.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu