Tuesday, January 31, 2017

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016/2017

Katibu Mtendaji wa barza hilo, Dkt Charles Msonde amesema kati ya wanafunzi 408,372 waliofanya mtihani, jumla ya wanafunzi 277, 283 wamefaulu, wakiwemo wasichana 135,859 sawa na asilimia 67.06 na wavulana 141, 424 sawa na asilimia 73.26.

Kwa upande wa watahiniwa wa shule, Dkt Msonde amesema kuwa 244,762 sawa na asilimia 70.35 ya waliofanya matihani wamefaulu ikilinganishwa na wanafunzi 240,996 sawa na asilimia 67.91 waliofaulu mwaka 2015.

Kwa upande wa ubora wa ufaulu, amesema watahiniwa wa shule wenye ufaulu mzuri wa Daraja la kwanza hadi la tatu ni 96,018 sawa na asilimia 27.60

Bonyeza hapa====>>>>>>>>>> MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (FORM 4)

Bonyeza hapa =====>>>>>>> MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (FORM 4)

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu