Tuesday, January 10, 2017

MCHEZAJI CRISTIANO RONALDO AMESHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA YA FIFA


Mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia ya FIFA.

Ronaldo, 31, amewapiku Lionel Messi wa Barcelona na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid katika sherehe zilizofanyika mjini Zurich, Uswisi.

Ronaldo pia alishinda tuzo ya Ballon d'Or mwezi Disemba mwaka jana, kufuatia mafanikio yake katika Klabu Bingwa Ulaya akiwa na Real Madrid, na pia kushinda Euro 2016 akiwa na timu ya taifa ya Ureno.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu