Monday, January 30, 2017

MKUU WA MKOA WA MBEYA MH. AMOS MAKALLA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI MKOANI MBEYA

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makalla akizungumza na wafanyabiashara pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoani Mbeya.

Mkuu wa mkoa amefanya kikao cha mazungumzo na wafanyabiashara mkoa wa Mbeya pamoja na wakuu wa wilaya za mkoa wa Mbeya, wadau wa biashara na wakurugenzi juu ya kukuza na kupanuka kwa biashara mkoani wa Mbeya. Picha na Mr.Pengo Mmg
Mmoja wa wafanya biashara akichangia mada wakati wa mkutano na Mkuu wa mkoa wa Mbeya.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makalla akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Mh. William Ntinika katika kikao na wafanyabiashara
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makalla akijib baadhi ya maswali ya wafanyabiashara walioudhuria mkutano huo.
Baadhi ya wafanyabiashara, wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa jiji la Mbeya wakifuatilia mkutano wa mkuu wa mkoa wa Mbeya.
Mkutano ukiendelea katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya leo

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu