Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (wa tatu kutka kushoto mwenye kikoi shingoni) akizindua rasmi mazoezi ya viungo kwa mkoa wa Iringa kama agizo la serikali kila jumamosi ya pili ya ya mwezi wananchi wote kushiriki mazoezi, kushoto kwake ni mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na kulia ni mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akifuatiwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza (PICHA ZOTE NA MATUKIODAIMABLOG).
Katibu tawala wa mkoa wa Iringa, Wamoja Ayub (kulia) akifurahia mazoezi (kulia) kwake ni mbunge Mwamoto na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza.
Afisa Habari Manispaa ya Iringa, Sima Bingieki wa kwanza kushoto akishiriki mazoezi leo uwanja wa Samora.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura  (pili kulia) akifurahia mazoezi na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Maasenza wa (kwanza kulia).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya mazoezi na Dc Iringa Richard Kasesela.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura kulia akifanya mazoezi ya viungo na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati katika uwanja wa samora Iringa leo.
Watumishi ofisi ya mkuu wa Mkoa na RPC Iringa wakiwa katika mazoezi.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya mazoezi na Dc Iringa Richard Kasesela,wa kwanza kushoto ni mkuu wa mkoa Iringa Amina Masenza ,mbunge wa viti wa maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati ,mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na katibu tawala mkoa wa Iringa wamoja Ayub.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akipongeza wananchi kwa kuitikia mazoezi, katikati ni mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza na mkuu wa wilaya Iringa Richard Kasesela.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura mwenye kikoi shingoni akiongoza mazoezi Iringa leo.
Mazoezi ya viungo kwa afya yakiendelea.
Diwani mstaafu wa Mtwivila Vitus Mushi katikati akishiri mazoezi.
Mpiga picha maarufu Iringa Said Mnyalugendo kushoto akiwa katika mazoezi.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akiwa na kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji Bw Komba wakishiriki mazoezi leo.
Mazoezi kila mmoja kwa afya.
Askari wa FFU wakishiriki mazoezi.
Wananchi walioshiriki mazoezi wakimsikiliza naibu waziri.
Walioshiriki mazoezi wakitoka uwanja wa Samora kwa mazoezi kurudi ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kulia akifurahia mazoezi na kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji mkoa wa Iringa Bw Komba.

Mazoezi safi.
Wananchi wakiwa katika mazoezi.
Mbunge Mwamoto na mkuu wa mkoa Masenza wakifanya mazoezi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: