Wednesday, January 4, 2017

USIMDHARAU MTU, BWANA AKISEMA NDIYO HAKUNA ANAYEWEZA KUZUIA

Katika maisha nimejifunza mambo mengi sana ...  asilimia kubwa watu waliofanikiwa walianza kwa kudharauliwa ... na sasa ni mashujaa.

Ninejifunza sana ili ufanikiwe kwa urahisi lazima uwanze kudharaulika kwanza na baadae upigane kwa hali na nguvu zote.

Mfano mzuri ni mtu kama Antonio Conte kocha wa sasa wa Club ya Chelsea ...

Miongoni mwa makocha ambao walionekana hawana lolote na akatabiliwa kua ndie anayewezekana akawa ni kocha wa kwanza kutimuliwa EPL ..

Jamaa mwenyewe alikuwa mpweke na ndo maana hakubahatika kuongea lolote ... kipindi hicho Mourinho na Pep Gurdiola ndio waliokuwa wanaongozwa kwa kuandikwa zaidi na kuonekana kuiteka EPL. .

Leo hii aliyezarauliwa ndie shujaaa ... wale waliokuwa wanaonekna watafanya vizuri ndio wanahari mbaya ... saivi kila kona ni Conte ...

Hata kama atofikia lengo, kwa haya yanayotokea kwa chelsea heshima kwake imaepatikana ..

Muda mwingine tujifunze na haya yanayotokea mbele yetu isiwe tu katika ushabiki, yawe hata ni soma katika maisha yetu ..

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu