Wednesday, January 25, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MAKAMBAKO KUENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA NJOMBE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini, Richard Kasesela baada ya kuwali kwenye uwanja wa Nduli mjini IringaKulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Amina Masenza. akiwa njiani kuelekea Njombe kuendelea na ziara ya kazi Januari 25, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiakaribiwahwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka baada ya kuwasili Makambako kuendelea na ziara ya mkoa huo, Januari 25, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Njombe, Deo Sanga baada ya kuwasili Makambako kuendelea na ziara ya mkoa huo, Januari 25, 2017. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu