Monday, January 2, 2017

WAZIRI MKUU MAJALI WA AMJULIA HALI MHE. STEVEN NGONYANI ALIYELAZWA HOSPITALI YA KAIRUKI JIJINI DAR

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa January 2, 2017 alikwenda kwenye hospitali ya Kairuki jijini Dar es salaam kumjulia hali mbunge wa Korogwe Vijijini, STEVEN NGONYANI ambaye amelazwa hospitalini hapo akipatiwa matibabu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu