Thursday, February 9, 2017

ASKOFU GWAJIMA ATINGA KITUO CHA POLISI KATI KWA SHANGWE

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa 7:30 mchana akiwa ameongoza na wafuasi wake, kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul Makonda, ambaye watuhumiwa wote 65 aliowataja jana katika sakata la dawa za kulevya, aliwataka kufika kesho Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa mahojiano zaidi. Picha na Zaynab Nyamka.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa 7:30 mchana akiwa ameongoza na wafuasi wake,kutii agizo la Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, ambaye watuhumiwa wote 65 aliowataja jana katika sakata la dawa za kulevya, aliwataka kufika kesho Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa mahojiano zaidi.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima akionekana kufurahia jambo wakati akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa 7:30 mchana akiwa ameongoza na wafuasi wake,kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,ambaye watuhumiwa wote 65 aliowataja jana katika sakata la dawa za kulevya,aliwataka kufika kesho Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa mahojiano zaidi.
Wafuasi wa Askofu Gwajima wakiwa wanawasili kituo cha Polisi kati
Polisi wakiwatawanya wafuasi hao wa Askofu Gwajima na kuwataka kukaa umbali wa mita 100 kutoka kituo cha Polisi
Wafuasi wa Askofu Gwajima wakiwa wamekaa umbali wa mita 100 kutoka kituo cha Polisi kama walivyoamriwa na Polisi.

1 comment :

Rehema Nzige said...

Kaazi ipo kwan leo ndio ijumaa?? Sasa na wafuasi wanafuata nn police awamu hii titaona mengi kwa waongozwa na viongozi....

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu