Wednesday, February 1, 2017

HAWA NDIYO WANAFUNZI WALIOONGOZA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2016/2017

Wanafunzi wawili walioongoza katika matokeo ya mitihani ya kidato cha NNE nchini Alfred Shauri (Feza Boys - Dsm) wa kwanza kitaifa na Cynthia Mchechu (St. Francis Girls - Mbeya) ambaye ni mtoto wa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba nchini - NHC Bwn. Nehemiah Mchechu (nafasi ya pili kitaifa) wakiwa katika studio za Jambo Tanzania TBC 1 leo tarehe 01 Februari, 2017 wakihojiwa na mtangazaji Edward Kondela.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu