Mabeste ni rapper wa muziki in Tz ambaye mpenzi wake anafahamika kama Lisa, Mungu mkubwa mbali na kupitia changamoto za hapa na pale ukweli penzi lao limedumu kwa muda mrefu kidogo.

Moja kati ya mafanikio makubwa katika mahusiano yao Mabeste na Lissa walipata mtoto mmoja wa kiume 'Kendrick' and soon wanaweza kupata mtoto wa pili coz Lisa anakibendi kingine.

Sio rahisi kama ambavyo unafikiria ku-maintain penzi, ndio maana relation nyingi za mastaa huishia kwenye maua.

Mabeste amezitaja sifa za mpenzi wake BK ambazo zimepelekea kudumu kwa Relation hiyo, Sambamba na hilo ametaja sababu ya kukimbiwa na marafiki zake pamoja na ndugu zake wa karibu baada ya Penzi la Mabeste na Lisa kuanza.

By Victor Petro
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: