Thursday, February 9, 2017

MAHAFALI CHUO KIKUU CHA AGA KHAN YAFANA


Wahitimu wa Chuo kikuu cha Aga khan wakiingia katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam
Wahitimu wa chuo kikuuucha Aga Khan miaka wakingia katika mahafali ya chuo hiyo
Wazazi na wageni waalikwa waliofika katika mahafali hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Aga Khan jijini Dar es Salaam

Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Aga Khan
Rais wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Firoz Rasul akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa chuo hichi
Baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu cha Aga Khan wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa chuo hicho.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu