Sunday, February 26, 2017

MBIO ZA KILIMANJARO 2017 ZANOGA MJINI MOSHI, KILIMANJARO

Mshindi wa mbio za kilometa 21, Emmanuel Giniki  akimaliza mbio hizo ndani ya Uwanja wa Ushirika mjini Moshi, Kilimanjaro. Mashindano hayo ya Kilimanjaro Marathon yalifanyika leo ambapo Mtanzania Giniki aliweza kushinda mbio kwa upande wa 21KM na kuitoa Tanzania Kimaso maso.
Babu mwenye umri wa miaka 90 aliweza kushiriki Mbio za kilometa 21 na kumaliza.
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha naibu kamishna wa polisi Charles Mkumbo nae alishiriki kwa kukimbia Kilometa 21.
Mwanamitindo Miriam Odemba nae hakukosa.
mmm
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saidi Meck Sadiki akikimbia mbio za Kilometa 5 za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika leo mjini Moshi , Kilimanjaro.
Washiriki wa Kilometa 5 wakianza mbio.
Washiriki wa mbio za Kilometa 5 kutoka Exim Benki wakifurahi mara baada ya kuanza mbio hizo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu