Thursday, February 9, 2017

MSANII WEMA SEPETU ATOKA RUMANDE KWA DHAMANA

Wema Sepetu akishuka katika gari ya Polisi huku pembeni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu akipunga mkono akitokea katika gari hiyo kwa mbele.
Wema Sepetu akitolewa kutoka mahabusu ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wema Sepetu akishuka katika ngazi za Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu mara baada ya kuamuriwa apte dhamana ya mahakama.
Wema akishuka katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu.
Wema Sepetu akiwa nje na kwa dhama akiwa ameongozana na wakili
Baadhi ya wasanii waliofika mahakamani hapo.
Mama wema akiwa naingia mahakamani.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu