Monday, February 20, 2017

PUMZIKA KWA AMANI JENIFER LIVIGHA (CHINGA ONE BLOGGER)

Jenifer Luvigha alipatwa na homa ya ini ambayo,alipata vipimo na alitarajia angepokea majibu baada ya uchunguzi kukamilika.

Lakini kwa bahati mbaya umauti umemkuta huko nyumbani kwake anakoishi Kinyerezi Dar es Salaam.

Mwili wa marehemu unapelekwa AMANA hospital na utaratibu wa mazishi unafanyika.

Taarifa za awali zinasema marehemu anatarajiwa kwenda kuzikwa nyumbani kwao RUPONDA NACHINGWEA.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu