Wednesday, February 8, 2017

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA SAUDI ARABIA, MOROCCO, ZAMBIA, CUBA, IRAN NA BURUNDI LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa  Saudi Arabia nchini Mhe. Mohamed Ben Mansour Al Malek Ikulu jijini Dar  es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Morocco Mhe Abdellah Benryane  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Zambia Mhe. Benson Keith Chali Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Cuba Mhe. Lucas Dominingo  Hermandes Polledo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8,  2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Iran Mhe Mousa Farhang Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa  Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho Ikulu jijini Dar es salaam leo  Jumatano Fenruari 8, 2017.PICHA NA IKULU

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu