Friday, February 17, 2017

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI WA NMB TANZANIA

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ineke Bussemaker, alipofika Ikulu Zanzibar .leo 17-2-2017.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsindikiza mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi Ineke Bussemaker, baada ya mazungumzo yao leo Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania baada ya mazungumzo yao Ikulu leo 17-2-2017.(Picha na Ikulu)

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu