Friday, February 17, 2017

SUALA LA USALAMA LIZINGATIWE KWA UMAKINI

 LICHA ya kuhamasisha watu kufanya usafi katika jiji la Dar es Salaam na wananchi wakaitikia mwitikio wa kufanya usafi kila siku ya jumamosi.
 
Hata hivyo huyu mama aliyeajiriwa na kampuni ya usafi wa barabara Bagamoyo Road akifanya usafi katika mazingira magumu kwa kukosa vitendea kazi na wakati mwingine ni hatari  kwa usalama wake.

Kampuni hiyo ambayo imemwajili  mama huyo imepata mkataba wake wa kufanya kazi hiyo na kulipwa na wakati mwingine hata mshahara wake ukawa hata hauendani na mazingira hayo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu