Monday, February 6, 2017

TIGO WAFANYA USAFI MKOANI MOROGORO

Meneja wa mauzo - Tigo mkoa wa morogoro, Abbas Abdulrahman (aliyeshika fagio mbele kushoto) akishiriki zoezi la usafi na wafanyakazi wa Tigo sambamba na wa Redio Africa swahili fm katika eneo la stendi ndogo ya daladala mkoani Morogoro juzi.
Wafanyakazi wa Tigo Morogoro na wafanyakazi wa Redio Africa swahili fm wakishiriki katika usafi wa pamoja kwenye stendi ndogo ya daladala mkoani Morogoro juzi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu