Wednesday, February 22, 2017

WANANCHI WAKATAA KUZIKA MWILI WA MAREHEMU MKOANI RUVUMA

Wakazi wa mtaa wa NAMANYINGU kata ya MSHANGANO Manispaa ya Songea Mkoani RUVUMA, wamewalazimisha mume na mke kuchimba kabuli la mtoto wao aitwaye DANROAD MAHUNDI mwenye umri wa miaka 36 ambaye inasemekana wazazi wake wamemua kwa njia za kishirikina.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu